Kuna tetesi kuwa msanii wa Bongo flava maarufu kwa jina la
Timbulo, ambaye amepata umaarufu mkubwa kutokana na umahiri wa kuimba katika
nyimbo zake kadhaa kama Domo
Langu, Waleo Wakesho, Samson na Delilah, amekamatwa mjini Bujumbura kwa tuhuma
za kukutwa na madawa ya kulevya. Timbulo alikuwa huko katika kufanya mipango ya
kufanya maonyesho kadhaa nchini Burundi mwezi April mwaka huu.
TANZANIA NA MAREKANI KUIMARISHA MAHUSIANO KWENYE SEKTA YA AFYA
-
Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa leo Mei 14, 2026 amekutana na Kaimu
Balozi wa Marekani Nchini Andrew Lentz na kufanya majadiliano kuhusu
Mkataba ...
11 hours ago
.jpg)
.jpg)
0 Comments