Meneja
wa matangazo na Masoko wa Kampuni ya SelCom wireless Paypoint Juma Mgori ,
akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutangaza
rasmi Kampuni hiyo kuanza kuza vocha za kulipia King’amuzi cha Zuku kupitia
vituo mbalimbali vya Selcom paypoint. Kushoto ni Meneja Mkuu wa Zuku Tanzania
Fadhil Mwasyeba.
Meneja
wa matangazo na Masoko wa Kampuni ya SelCom wireless Paypoint Juma Mgori , akifafanua
jambo kwa wanahabari (hawapo pichani) juu ya huduma wanazotoa ikiwa ni pamoja
na ulipiaji wa Bili mbalimbali kama za simu mitandao yote, Luku, Startime,
Tiketi za Treni za jijini Dar es Salaam,kulipia ada za Mitihani NECTA,
kuangalia matokeo na sasa Zuku.
Meneja
Mkuu wa Zuku Tanzania Fadhil Mwasyeba akizunguma na waandishi wa habari
wakati wa makubaliano ya mkataba wa kujiunga na SelCom kwa ajili ya Malipo ya
Zuku.
Meneja
Mkuu wa Zuku Tanzania Fadhil Mwasyeba kushoto akizunguma na waandishi wa habari
wakati wa makubaliano ya mkataba wa kujiunga na SelCom kwa ajili ya Malipo ya
Zuku, wengine ni Meneja wa matangazo na Masoko wa Kampuni ya SelCom
wireless Paypoint Juma Mgori na Meneja wa Bidhaa na uboreshwaji wa
viwango Julio Batilia .
Waandishi wa habari wakichukua nukuu ya mambo yanayozungumzwa.
Meneja
Mkuu wa Zuku Tanzania Fadhil Mwasyeba (wapili kushoto) akibadilishana hati ya
makubaliano ya kulipia king'amuzi cha Zuku kwa njia ya mtandao na Meneja wa
matangazo na Masoko wa Kampuni ya SelCom wireless Paypoint Juma Mgori,
makubariano hayo yamefanyika Dar es salaam Leo kwa ajili ya kurahisisha
hudumu hio. Wanaoshuhudia ni Maofisa kutoka Selcom na Zuku.
0 Comments