KHADIJA KOPA ALIVYOPAGAWISHA X MAS KIVULE DAR



Kama ilivyo kawaida yake  Malkia wa mipasho nchini na Afrika Mashariki Khadija Kopa hapa akionesha na akiachia body lake.

Mashabiki wakifurahia muziki.

Shabiki akipagawa mwishowe kuntunza imooo.

Mashabiki wakifurahia  muziki wa taarab wa Bi Khadija

Hapa akienda sambamba na wanenguaji wake.

Post a Comment

0 Comments