| Super D wa pili kulia akiwa na baazi ya mabondia wa tanzania |
| Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' akiwa na bondia Ibrahimu Class ' King Class Mawe' kulia na mmoja ya washabiki wa mchezo wa ngumi kutoka Tabata Super D ameamua kuamasisha mchezo wa masumbwi kwa kutoa flana za jezi zenye nembo yake kwa ajili ya kuamasisha mchezo wa masumbwi jezi hizo zitakazokuwa zikiuzwa kwa bei ya 15,000 tu kwa wapenzi mashabiki na mabondia wanaopenda mchezo huo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com. |
Promota
wa mpambano wa Ubingwa wa WBF Mohamed Bawaziri Katikati akiwa na mkanda
wa ubingwa watakaogombania mabondia Nassibu Ramadhani kushoto na
Fransic Miyayusho wakati wa utambulisho wa mpambano huo utakaofanyika
katika ukumbi wa PTA Sabasaba tarehe 9 Desemba Picha na www.superdboxingcoach.
|
| NASSIBU RAMADHANI KUSHOTO NA FRANSIC MIYAYUSHO |
0 Comments