Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla kushoto akizungumza na wasanii mbalimbali Dar es salaam jana juu ya ulasimishwaji wa kazi za sanaa ifikapo mapema mawkani Picha na www.burudan.blogspot.com |
| Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla kushoto akizungumza na wasanii mbalimbali Dar es salaam jana juu ya ulasimishwaji wa kazi za sanaa ifikapo mapema mawkani Picha na www.burudan.blogspot.com |
Msanii wa mziki wa Injili Bahati Bukuku akizungumza kwa uchungu jinsi wanavyoibiwa kazi zao mbele ya Naibu waziri Makalla. |
Mmoja Kati ya wasanii wakongwe nchini Kaswahili akitoa dukuduku lake mbele ya Waziri. |
Msanii wa Filamu Jacob Steven 'JB' akizungumza wakati wa mkutano huo Picha na www.burudan.blogspot.com |
Rais wa Shirikisho la muziki Tanzania Addo November akiwasilisha mada mbele ya Naibu Waziri Makalla. |
Mkurugenzi wa THT Ruge Mutahaba akizungumza wakati wa mkutano huo picha na www.burudan.blogspot.com |
Mzee Juma Ubao akitoa Dukuduku lake |
Msanii wa Muziki wa asili Che Mundugwao akichangia hoja kulia ni Mkurugenzi wa Radio Times Rehule Nyaulawa. |
Baadhi ya wasanii wa muziki wa Injili wakifuatilia mkutano huo |
0 Comments