Video ya kumuenzi marehemu HUSSEIN a.k.a Sharo Milionea huu wimbo umeimbwa na Shetta, Dayna Nyange, shilole mohamed, Cannal Top, Rich Mavoko, Shadoo, Amazon, Barnabas Elias, Stamina, Dan rock, Suma Mnazaleti, Eric Mlindima, Muba c, Seif
BONGO ALL STARS together we canAudio producer ni C9Kanjenje
Video directed by Msafiri under KWETU studio
R.I.P Sharo Milionea tutakukumbuka daima milele
0 Comments