Mwanadada Sara Kaisi SHAA jana alifanya show nzuri sana na alitunzwa hela nyingi na kila mtu aliependa alichokuwa akikifanya. Napenda unavyojiamini Shaa endelea na uzi ule ule...
mziki ulinoga viatu vikavuliwa
Copyright © 2015 - 2025 BongoWeekend All Right Reserved
Developed by Gadiola Emanuel
0 Comments