Doris akikata Keki yake ya Kitchen Party ikiwa ni ishara ya upendo kwa wageni wote walioshiriki katika sherehe hiyo na kula nao pamoja.Kitchen Party hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki.
MADIWANI KIBAHA NA CHALINZE WATAKIWA KUIMARISHA USIMAMIZI WA RASILIMALI ZA
UMMA
-
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Shangwe Twamala, amewataka
Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri za Wilaya ya Kibaha na Chalinze
kuimarisha usimamizi...
3 hours ago

0 Comments