Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa akigonganisha chupa na baadhi ya wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia wa Balimi Extra Lager uliofanyika katika Ukumbi wa Kibo Peak Hotel Kigoma Mjini
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, John Mongele (kushoto) akigonganisha chupa na Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia wa Balimi Extra Lager uliofanyika katika Ukumbi wa Kibo Peak Hotel Kigoma Mjini .
Wacheza shoo wa Kampuni ya Promotion ya Intergrated Comminications wakicheza wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia wa Balimi Extra Lager uliofanyika katika Ukumbi wa Kibo Peak Hotel Kigoma mjini hivi karibuni.
0 Comments