Social Icons

Wednesday, February 1, 2012

PICHA KITCHEN PARTY YA REHEMA KILUVIA ILIYOFANYIKA JAN 31 2012 KATIKA UKUMBI WA DUNKAN HOUSE-MIKOCHENI

 Bi harusi Rehema Kiluvua akiwa na dadake Lulu Kiluvia  wakitoka  nje ya ukumbi ambako dada alificha zawadi yake ya gari aina Fun Cargo.Kitchen Party hii imefanyika usiku wa jana January 31 2012  katika ukumbi wa Dunkan House uliopo Mikocheni Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wakina mama wenye majina , wafanyabiashara na warembo , wanamuziki, waandishi na watangazaji.Blogu hii inamtakia kila la kheri Rehema  katika kuanza ukurasa wake mpya wa maisha 
 Dada wa Bi harusi Lulu Kiluvia akijiachia kwa raha zake.
  Lilian Intrenet akiwa karibu na Bi arusi lakini akiwa bize na simu sijui alikuwa anamtumia nani meseji.
 Bibi arusi mtarajiwa Rehema Kiluvia.
 Isome Kimyakimya ni Lulu Kiluvia huyo.
 Wakikumbatiana kwa mapenzi jamani damu nzito acha tu wote walilia machozi ya furaha
 'Wenye Husdaa na Husda zao' 
 Funguo ni yako mdogo angu ndivyo alivyosema Lulu akimkabidhi Rehema nje ya ukumbi .
 Rehema akiwa ndani ya zawadi yake ya gari aliyopewa na dadake Lulu.
 Maria na Saada wabishi wa Jimbo la Kinondoni wakiwa katika pozi ukumbini hapo.
 Mara baada ya kumtunza mdogo wake gari ambapo Lulu alisema hichi ni kidogo alicho jaaliwa kumpa mdogo wake  mpendwa na wapekee wa kike.
 Asha Baraka nayeye akijimwayamaywa  mara baada ya kumtunza Rehema ambaye ni Mdau mkuu wa bendi ya Twanga Internationa pia mwanachama chama cha kusaidiana katika shida na raha. 
 Umoja wetu ukitoa zawadi ya Jokofu kwa shangwe kwa Bi harusi Rehema huku wanachama wake wakijimwayamwaya kwa shangwe na vifijo.
 Janet Isinika anayeonekana mgongo  akimwonyesha zawadi ya Jokofu Rehema
 
 Husna Idd 'Sanjeti' Kimwana  wa Twanga wa ukweeh nayeye aliwakilisha hivi na mnyama.
 Aunt Bilali  Bilali 'Mashauzi 'nayeye hakukosa  katika shughuli hiyo , shughuli ni watu etii
 Saada  Mtoto wa Kinondoni akiwa katika pozi ndani ya ukumbi huo.
 Asha Baraka na Matinda Baraka wakiteta jambo nje ya ukumbi.
 Picha kidogo siyo nzuri lakini utaona tu kiubishiubishi kwa sababu mnyama alichukua nafasi yake kidogo kwa mpigapicha wetu hapa Luiza akitoa neno mara baada ya Bi harusi mtarajiwa Rehema kuingia ukumbini.
 Da' Luiza akifurahi na Bi harusi Mtarajiwa Rehema Kiluvia mama wa mujini.
 Matinda Baraka na Lilian Internet.
 Hizi picha hazifanani hebu zicheki mapozi ni tofauti.
                                                Kitu cha Mnyama hicho umeona eee.
 Baadhi ya wana kamati wakishangweka kutoka kulia ni Luiza Mbutu,Khadija Kalili, Lilian Tungaraza 'Internet' na Asha Said 'Sharapova'.
 Kiongozi wa bendi pia Mwenyekiti wa Umoja wa Kinadada na wadau wa Twanga katika Kitchen Party hiyo Luizwa Mbutu  Mama Brian akijiachia taratiibuu kwa raha zake.
                                                              Ni mambo ya Chui hayo pendezaaa mbayaaa.
 Khadija na mnennguaji mahiri wa Twanga Asha Sharapova ndani ya ukumbi usiku wa jana .
                                                     Matinda Baraka na Aunt AshaBaraka.
                                Asha Baraka akiwa na watoto wake Maangaza kulia na Matinda shoto.
                                                   Asha Baraka na Khadija Shaibu a.k.a Dida .

1 comment:

Anonymous said...

umependeza gani we khadija, sura kama kibwengo!hovyo na ole wako usitoe hii comment, utakuwa umejishtukia.

 
 
Blogger Templates