Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR Mageuzi na wawakilishi wa chama hicho mara baada ya mazungumzo ya kina kuhusu mabadiliko ya katiba katika mazungumzo yaliyofanyika Ikulu.
Kulia ni Rais Jakaya Kikwete akipokea mapendekezo ya Chama Cha NCC -Mageuzi kuhusu mchakato wa Katiba mpya kutoka kwa Mwenyekiti wake wa Chama Cha NCCR Mageuzi James Mbatia walipokutana na Rais Ikulu mwishoni mwa wiki
(PICHA ZOTE NA IKULU)
(PICHA ZOTE NA IKULU)
0 Comments