Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Jiwe la Msingi katika Soko jipya la Michungwani, wakati akiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Muheza, leo Januari 25, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wakati alipotembelea Msitu wa asili wa Hifadhi wa Amani, akiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga, leo Januari 25, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Muheza waliokuwa wamekusanyika nje ya ofisi ya CCM wakimtaka kuzungumza nao baada ya kupokea taarifa ya utendaji kutoka kwa viongozi wa CCM wa Wilaya hiyo, wakati akiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga leo Januari 25, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
0 Comments