Msanii nyota katika muziki wa Kizazi kipya almaarufu kwa jina la Mr.Blue leo amepata pigo la kufiwa na mamayake mzazi.Blogu hii inaungana na familia ya marehemu katika kipindi hiki kigumu Inshaallah mwenyeezi mungu akupe moyo wa Subra.Inna lillah wainna ilaih rajiuun.
SITA KIZIMBANI KWA KUTUMIA NIDA ZA WATU KUSAJILIA LINE ZINGINE
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv OFISA Uchunguzi wa Halotel Fabian Kulwa (40)
na wenzane watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
wakikabil...
14 hours ago

0 Comments