Kutoka kushoto ni ni Mkufunzi wa Kituo cha mazoezi ya viungo Genesis kilichopo Kijitonyama Dar es Salaam SummyVicent Agutun Sangandele na Meneja wa Kinywaji kisicho na Kilevi cha Malta Guiness Mourice Njowoka ambapo wamedhamini mazoezi ya viungo yatakayofanyika kuanzia saa 12:alfajiri hadi saa 4:00 katika viwanja vya Posta Kijitonyama Dar es Salaam.Wanya mazoezi ya viungo wataonjeshwa kinywaji hicho. Sangandele ameipongeza Kampuni ya Bia Serengeti kwa udhamini huo ikiwa ni katika kusherehekea miaka 50 ya Uhuru na kusisitiza kwamba mazoezi ni afya na kila Mtanzania anapswa kuwa na ratiba ya kufanya mazoezi katika maisha yake kwa ujumla.
MABILIONI YA MRABAHA KUTOKA BARRICK NORTH MARA YAANZA KUTEKELEZA MIRADI YA
MAENDELEO KWA KASI TARIME VIJIJINI
-
Wenyeviti wa vijiji vya Kewanja, Kerende, Genkuru, Nyamwaga na Nyangoto
wakiwa katika mojawapo ya matukio ya kupokea gawio la mrahaba kutoka Mgodi
wa Dha...
2 hours ago
0 Comments