Hii picha ilinaswa na blogu ya bongoweekend Jijini mwanza mapema mwaka huu, jamani kutawaliwa kubaya looh nimeona siyo vibaya tuka shea wote kuona mambo ya mkoloni yaani wao walikuwa wakiwaniga mababu zetu katika miti yaani hata kama walikuwa ni wahalifu inauma sana na nimeguswa sana wakati nilipokuwa naperuzi maktaba yangu.
MHE. MILLYA ATEMBELEA KITUO CHA UTOAJI HUDUMA KWA PAMOJA CHA NAMANGA
-
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki
Mhe. James Kinyasi Millya (Mb.) ametembelea Kituo cha Utoaji Huduma kwa
Pamoja Mp...
2 hours ago
0 Comments