KUFURAHI NA MARAFIKI NA KUMWAGA TABASAMU NDIVYO NILIVYO


 Kutoka kushoto ni Mopelo,mkung'uta gitaa wa bendi ya Twanga  Kanuti na huyo bonge huwezi amini kuwa ni  aliyekuwa Mtangazaji  wa zamani katika kituo cha ITV na Mnazi wa bendi ya The African Stars 'Twanga Pepeta' Richard  Maabadi na mimi  tulipokutana baada ya kupotezana kwa miaka zaidi ya 10.
Wadau habari za siku telee, awali ya yote napenda kuwatakia Jumatatu njema na kila la kheri katika kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika  ambayo ilipata Uhuru wake 9.Desemba 1961 nchi ambayo hivi sasa inatambulika kwa jina la Tanzania Bara hiyo ni baada ya Muungano wake na Visiwa vya Unguja na Zanzibar.

Post a Comment

0 Comments