Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Serengeti Breweriers Teddy Mapunda akimpongeza Mwanafuzi Fredrick Mwambafula kulia ambaye amefanikwa kupata udhamini wa kusomea uinijinia na kutoka kampuni hiyo wakati alipotambulishwa kwa wanahabari leo katika makoa makuu ya kampuni hiyo Oysterbay jijini Dar es salaam katika picha kulia ni David Shoo na Imani Lwinga Meneja Mawasiliano ya Ndani SBL.
WAZIRI NDEJEMBI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA BENACO–KYAKA
-
📌 Utawezesha Mkoa wote Kagera kuunganishwa na Gridi ya Taifa
📌 Zaidi ya Bilioni 270 kutumika kutekeleza mradi
📌 Mradi kukamilika ndani ya miezi 24
...
6 hours ago

0 Comments