Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua madini yanayochimbwa Mpanda wakati alipotembelea banda la TPM MINING COMPANY LIMITED katika maonyesho yatakayoambatana na uzinduzi wa mkutano wa uwekezaji unaotarajiwa kufunhuliwa na Rais Jakaya Kikwete Mjini Mpanda October 17,2011. (Picha na Ofisi ya Waziri MKuu)
BAGAMOYO SUGAR MABINGWA MKOA WA PWANI
-
Timu ya Bagamoyo Sugar ya Bagamoyo wametwaa Ubingwa wa Mkoa wa Pwani RCL
kwa 3-2 dhidi ya timu ya Kiduli yenye maskani yake Wilaya ya Kibaha.
Akizun...
3 hours ago
0 Comments