MENEJA Mawasil;iano na habari TBL Edith Mushi wa kwanza kulia ,Katikakati ni Meneja wa Redds Vick Kimaro na Meneja Masoko wa TBL Fimbo Butalla wakizungumza na waandishi wa habari mapema wiki hii kwenye uzinduzi wa shindano la Redds Uni Fashion Bash kwa wanavyuo wa vyuo vikuu nchini ambapo itahusisha vyuo kwenye mikoa ya Dar es salaam,Moshi,Dodoma na Mwanza.
WALIMU SIMANJIRO WAJENGEWA UWEZO SIS
-
Na Mwandishi wetu, Simanjiro
WAKUU wa shule za sekondari na msingi wilayani Simanjiro mkoani Manyara,
wamejengewa uwezo wa kuandaa taarifa za shule kutoka...
2 hours ago
0 Comments