Hatimaye uongozi wa Yanga umenrejesha tena aliyewahi kuwa Kocha wa Yanga Costadin Papic pichani Papic akitia timu na tayari ameshaanza kazi jioni ya leo alikuwa mazoezini.
WAZIRI WA FEDHA AKUTANA NA UJUMBE WA KITENGO CHA KUDHIBITI FEDHA HARAMU
(FIU)
-
*Na. Joseph Mahumi na Saidina Msangi, WF, Dodoma*
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amekutana na kufanya
mazungumzo na ujumbe kutoka ...
2 hours ago
0 Comments