BIRTHDAY YA MIAKA MI5 BLOG YA 8020 FASHIONS YAFANA DAR ES SALAAM

 Mmiliki wa Blogu ya mavazi ya 8020 Fashions Shamimu Mwasha a.k.a Zeze  akizungumza  katika sherehe ya miaka  mitano ya blog hiyo ya mitindo Mgeni rasmi  katika hafla hiyo alikuwa Mbunge wa CCM viti maalum Dar es salaam Angela Kairuki ambaye pia ndiye aliyezindua nembo ya mavazi ya B2A itakayomilikiwa na Shamimu,

 Sherehe za  kutimiza miaka 5 ya mtandao wa 8020 Fashions imefanyika kwenye ukumbi wa Daimond Jubilee jijini Dar es salaam leo mchana.

Tukio hilo limedhaminiwa na kampuni ya Vodacom Tanzania kupitia mradi wake wa kusaidia wanawake MMWEI na kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers kupitia kinywaji chake kikali cha Baileys

Post a Comment

0 Comments