Mshauri nasaha Bi Suzy Mgeme akitoa ushauri nasaha kwa warembo wa shindano la Voddacom Miss Tanzania wakati kampuni ya bia ya Tanzania TBL kupitia kinywaji chake cha Redds ilipozungunza na warembo hao ambao wamevalia mashati maalum ya Redds, kama njia ya kuwajenga zaidi na kujiamini katika mashindano hayo kwenye hoteli ya Girrafe Ocean View Mbezi Beach. Redds ni wadhamini wenza wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 linalotarajiwa kufanyika hivi karibuni jijini Dar es salaam.Meneja wa kinywaji cha Redds Victoria Kimaro akimkabidhi zawadi ya shati la Redds Mrembo namba 26 Husna Maulid huku warembo wengine wakisubiri kupewa zawadi hiyo. (Picha zote kwa hisani ya http://www.fullshangwe.blogspot.com/)
Warembo wakiangalia zawadi zao za mashati walizopewa na Redds.
Meneja wa kinywaji cha Redds Victoria Kimaro akizungumza na warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania wakati alipowatembelea kambini katika hoteli ya Girrafe Ocean View Mbezi jijini Dar es salaam na kuwapatia zawadi.
WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO AWEKA JIWE LA MSINGI
UJENZI WA NYUMA ZA MADAKTARI PANGATUPU WILAYA YA KASKAZINI B UNGUJA
-
Muonekano wa Jengo la Nyumba za Wafanyakazi wa Hospitali ya Wilaya ya
Kaskazini B Pangatupu Lililoekewa Jiwe la Msingi na Waziri wa Maendeleo ya
Jamii Ji...
1 hour ago
0 Comments