Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akionyshwa DJ Tasi (kushoto) anavyofanyakazi alipotembelea kituo cha Magic FM akaiwa katika ziara ya Kampuni ya Africa Medi Group inayomiliki kituo hicho mjini Dar es Salaam, leo. Anayemuonyesha ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Hamza Kasongo. (wapili kushoto).
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments