Airtel yatanua huduma za mawasiliano katika Kanda ya Ziwa na mkoani Manyara

Dar es Salaam, Jumatatu – Julai 19, 2011: Airtel Tanzania kampuni ya simu za mkononi inayoongoza kwa mtandao mpana nchini imedhamira kutoa huduma za mawasiliano bora na yenye bei nafuu katika vijiji vya Tanzania, Airtel imedhibitisha hili kwa kuzindua huduma za mawasiliano kanda ya Ziwa na mkoani Manyara mwishoni mwa wiki iliyopita. Katika kauli iliyotolewa na kampuni ya Airtel, meneja masoko wa mkoa Ally Maswanya alisema” Airtel inadhamiria kuendelea kutoa huduma bora na nafuu kwa wakazi wa Mara na Kagera huku ikiendeleza kuongeza mtandao wake kwenye maeno mengi ya mkoa huu na kuwapati wateja wake uzoefu tofauti na wa kipekee katika huduma hizi za simu ambazo zimewafikia wananchi wa vijiji na miji mingine Tanzania .Leo hii huduma zetu za mawasiliano zimewafikia wakazi na wenyeji wa Nyakanazi Biharamuro Kagera na Busekela Mara na tunaendelea kuwafikia wananchi wengi zaidi Tanzania nzima."alisema Ally.“Tunaamini huu ndio wakati muwafaka kuendelea kupanua huduma za mawasiliano Mara na Kagera, Kuwepo kwa mtando wa mawasiliano kanda ya ziwa kutaimarisha na kuinua shughuli za uchumi na kusaidia wakazi wa mikoa hiyo na jamii ya Tanzania kwa ujumla, Tunaamini kwa kupitia huduma zetu za mawasiliano shughuli za uvuvi na kilimo zitaongezeka kwa kiwango kikubwa zaidi” Aliongeza kusema Maswanya.
Sambamba na hili Airtel Tanzania pia imezindua huduma za mawasiliano Mamire, Mwikansi, Endakiswa, Kwara, Gijedabuu Endegile, Bonga na Mabanzini mkoani Manyara katika mwa wiki iliyopita. akishuhudia mabadiliko haya Meneja masoko wa mkoa Stephen Akyoo alisema” tunajisikia vizuri kuona huduma za mawasiliano zinawasaidia wakazi wa manyara na kuinua kiwango cha maisha na biashara zao. Leo Uzinduzi wa huduma hizi umethibitisha mawasiliano ni muhimu sana na si vinginevyo.Kwa upande mwengine, Mkurungezi wa mawasiliano Airtel Tanzania, Beatrice Singano Mallya alisema. “Tunafurahi kuendelea kupeleka huduma zetu vijijini, na watu wengi watafikiwa na huduma zetu za mawasiliano, Tunatambua na ni wazi kabisa kuwa kuna maeneo mengine ya nchi yetu Mtandao wa Airtel pekee ndio unapatikana na kufikisha huduma zake, na hivyo tunafurahi sana kuwa chachu ya maendeleo ya uchumi wa Tanzania kwa sasa”.Airtel Tanzania itatoa huduma bora na nafuu katika mkonia mitatu Mara, Kagera na manyara kama itoavyo katika mikoa mingine nchini. Kwa kuwepo kwa Airtel sasa hivi kutawawezesha watu kutuma na kupokea fedha wakiwa majumbani na sehemu zao za biashara.Ndani ya kipindi cha wiki moja na nusu Airtel Tanzania imezindua huduma zake za mawasiliano katika mikoa mitano na kufikisha mawasiliano katika miji na vijiji mbalimbali Tanzania , hii inathibisha kuwa tumefikia mikakati tuliyojiwekea katika kufikisha mawasiliano vijijini na kuendelea kushika nafasi ya kwanza kwa kuwa mtandao ulioenea kote nchini Tanzania.
About airtel in Africaairtel is the new brand name for the 16 Zain operations across Africa which were acquired by airtel International in June 2010. airtel is driven by the vision of providing affordable and innovative mobile services to all. Airtel has African operations in: Burkina Faso, Chad, Democratic Republic of the Congo, Republic of the Congo, Gabon, Ghana, Kenya, Malawi, Madagascar, Niger, Nigeria, Seychelles, Sierra Leone, Tanzania, Uganda and Zambia. airtel International is a Bharti Airtel company. For more information, please visit http://www.airtel.com.about/ Bharti airtel LimitedBharti airtel Limited is a leading global telecommunications company with operations in 19 countries across Asia and Africa. The company offers mobile voice & data services, fixed line, high speed broadband, IPTV, DTH, turnkey telecom solutions for enterprises and national & international long distance services to carriers. Bharti airtel has been ranked among the six best performing technology companies in the world by BusinessWeek. Bharti airtel had over 215 million customers across its operations at the end of February 2011. To know more visit, http://www.airtel.infor/ more information contact
Jane Matinde
Public Relations Cordinator

+255 784 670 232

Post a Comment

0 Comments