TWANGA WATWANGA VILIVYO CLUB SUN CIRO SINZO USIKUWA KUAMKIA LEO.
Hapa wanawapa Hi mashabiki wa Twanga Popote pale walipo.Kadhalika wanawatakia Ijumaa Kuu njema, leo Ijumaa atatumbuiza kwa Jimmy Kiwalani kesho watakuwa Twanga City Mango Garden, Jumapili Mchana Leaders Club na usiku watakuwa TCC Chang'ombe.
VIJANA KIBAHA WAPONGEZA HOTUBA YA NANAUKA, WAOMBA USIMAMIZI KATIKA MIKOPO,
AJIRA NA MFUMO WA PORTAL
-
Mwamvua Mwinyi, Kibaha April 22,2026
Baadhi ya vijana wameeleza kuwa licha ya Serikali kuwasilisha taarifa ya
utekelezaji wa shughuli za maendeleo ya vij...
2 hours ago
0 Comments