Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Jakaya Kikwete akikagua gwaride leo katika sherehe za miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar , sherehe hizo zimefanyika kwenye Uwanja wa Amani Zanzibar.(Picha Zote na Muhidin Sufian -VPO)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, wakati wa hafla ya chakula cha mchana iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar jana baada ya kumalizika kwa sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya Muungano.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, wakati wa hafla ya chakula cha mchana iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar jana baada ya kumalizika kwa sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya Muungano.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi Zakia Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Ibrahim Lipumba, wakati wa hafla ya chakula cha mchana iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Zanziba, baada ya kumalizika kwa sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya Muunganozilizofanyika Zanzibar leo.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kimataifa ya Hazina ya Jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kucheza Sarakasi wakati wa Sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya ya Muungano zilizofanyika kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar leo. Juu ni Sehemu ya washereheshaji pia wanafunzi wa sherehe hizo wakiwa jukwaani wakichora mfano wa Bendera ya Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Kikwete, akipunga mkono kwa wananchi wakati alipokuwa akiingia kwenye Uwanja wa Amani katika sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya Muungano mjini Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohamed Gharib Bilal.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi Asha Bilal na Waziri Mstaafu, Edward Lowasa, wakiwa jukwaani wakiimba wimbo wa Taifa, wakati wa wa sherehe za maadhimisho ya sherehe za miaka 47 ya Muungano zilizofanyika kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi Zakia Bilal na viongozi wengine wa Kiserikali, wakiwa jukwaani wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya Muungano zilizofanyika kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar.
Askari Polisi wa Kike wakipita mbele ya Jukwaa Kuu. Askari Magereza wakipita mbele ya Jukwaa Kuu kwa mwendo wa haraka na kutoa heshima kwa mgeni rasmi.
Kutoka (kuli) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, Rais wa`Zanzibar,Dkt Ali Mohamed Shein,Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohamed Gharib Bilal na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd, wakiwa jukwaani wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya Muungano zilizofanyika kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar.
Askari wa Jeshi la Wananchi JWT, wakipita mbele ya Jukwaa Kuu kwa mwendo wa haraka .
Kikosi cha Wanamaji kikipita mbele ya Jukwaa kuu na kutoa heshima wakati wa gwaride.
ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya waliohudhulia sherehe hizo kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar .
Baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya waliohudhulia sherehe hizo kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Ibrahim Lipumba, akiwa ni miongoni mwa wageni waalikwa waliohudhulia sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya Muungano, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar
0 Comments