SEHEMU YA BANDA LA JARIDA LA SHEAR KWENYE MAONYESHO YA HARUSI YANAYOFIKIA KIKOMO KESHO,PIA UNAWEZA KUPATA NAKALA YAKO MPYA INAYOUZWA KWA MAWAKALA NA WAUZAJI WA MAGAZETI KWA SH.5,000 TU. BEI YA KENYA SH.300, UGANDA SH.7000 NAUS$4.99
Mbali na kuwa haya ni maonyesho ya harusi pia katika ukumbi wa Diamond Jubilee kumekuwa na mabanda yaliyokuwa na bidhaa mbalimbali ikiwa ni katika kupamba maonyesho hayo sanjari na banda hili la Shear Illusions ambapo wao walikuwa wakiuza na Majarida/Magazine bora la mitindo nchini Tanzania na linaloongoza kwa ubora wa hali ya juu la Shear Hair & Beauty.
Hapa ni sehemu ya mapambo ya maonyesho ya Harusi , hii kazi ya Picadilly ikiwa ni chini ya Mkurugenzi Mtendaji Masood A. Masood.
Mambo ya Picadilly, ambaye anaongoza kwa kupamba vizuri katika harusi mbalimbali nchini.
Huyu bibi ndiye aliyeonekana mwenye umri mkubwa kupita washiriki wa mabanda yote hapa akithibitisha usemi usemao ujuzi hauzeeki hapa akiwa kwenye banda lake.Rose Fashion Creations wanaojihusisha na ubunifu wa mitindo na mavazi kwa maharusi anapatikana Mtaa wa Senegal Upanga (West Upanga)Dar es Salaam . Mwenyewe anakwambia usiwaze utapendeza.
Hii ni sehemu ya bibi akatoa neno hilooo 'Message Sent'.
0 Comments