AMRI KAMALA NA REHEMA PENZA SIKU YA NDOA YAO JUMAMOSI GONGO LA MBOTO DAR ES SALAAM

Bwana harusi Amri Kamala hapa akijihakikishia kuwa Rehema ni mke wake kwa kumvisha pete mara baada ya kupigaz goti na ubani kupita, ndoa ilifungwa nyumbani kwao na bibi harusi Gongo la Mboto Dar es Salaam.

Safari ya maisha mapya ya Bwana Kamala na Rehema ilianza ambapo walikua ndani ya mtengo huu . Maharusi Wakipongezana kwa kukumbatia mara baada ya kufunga ndoa yao . Hapa maharusi hawa Amri Kamala kulia na Rehema kushoto wakisoma kwa makini hati ya ndoa kabla ya kusaini. Hapa wote wakiwa wenye sura za furaha.
Bwana Harusi Amri akimvisha pete ya ndoa mkewe Rehema ambaye anaipokea kwa tabasamu pevu. Cheeersssssssssss na wapambe wao mara baada ya mustakabali wa shughuli ya ndoa kukamilika.

Post a Comment

0 Comments