Mchezaji wa Timu ya Taifa Shaaban Nditi amewatoa kimasomaso Watanzania baada ya kuiandikia Taifa Stars golo la kwanza katika dakika ya 49 huku Mbwana Samata akiongeza dozi kwa kuandika goli la pili katika dakika ya 89 ya mchezo huo hivyo Taifa Stars wameichabanga timu ya Afrika ya Kati 2-1 katika mechi ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika mwakani zitakazopigwa nchini Benin na Guinea ya Ikweta ,mechi hiyo imechezwa leo jioni kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
MWANAMKE MMOJA AFARIKI DUNIA AJALI YA ROLI MBEZI KWA MSUGULI
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Mwanamke mmoja amefariki dunia baada ya gari aina ya roli lenye namba ya
usajili T696 CLY kuacha njia na kumgonga mwanamke ...
9 hours ago
0 Comments