Mchungaji Maximiliani Machumu Aka (Mwanamapinduzi) ambaye ni mwimbaji wa muziki wa Injili akiongea na waandishi wa habari leo katika Mgahawa wa Chines uliopo Jengo la Kitegauchumi Jijini Dar es salaam wakati alipokuwa akitoa shukurani kwa watu waliochangia ujenzi wa kituo cha watoto yatima cha (HUIWA) na kuelezea lengo la kufanya matamasha mengine mikoani kwa lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kituo hicho kitakachojengwa jijini Dar es salaam katika picha kulia ni mshauri wa Mchungaji huyo Bw.Geovan Festo.(Picha na John Bukuku).
KENYA YATOA HATI ZA VYUO VIKUU KWA KAIST NA KEMRI
-
*Na Mwandishi Wetu*
*Serikali ya Kenya imetoa hati rasmi za vyuo vikuu kwa Kenya Advanced
Institute of Science and Technology na Kenya Medical Research I...
6 hours ago
0 Comments