Ndugu Risasi Mwaulanga Balozi wa Amani wa Chama cha Universal Peace Federation na kulia ni Nangasu Warema ni Mwenyekiti wa Amani Foundation isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na Amani Demokrasia Tanzania wakizungumzia amani Tanzania bila ya kutofautiana kuendeleza amani iliyopo kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) leo jijini Dar es salaam.
WANAHARAKATI, WANAZUONI WASEMA UISLAMU SIO KIKWAZO MWANAMKE KUWA KIONGOZI
-
Na Nihifadhi Abdulla, Zanzibar.
ZANZIBAR ni moja kati ya nchi ambayo inadaiwa kuwa na waumini wa kiislam
wengi na huishi kwa kufuata sunna, vitabu vitu...
34 minutes ago
0 Comments