Kiongozi wa wacheza shoo wa bendi Kongwe nchini The African Stars Twanga Pepeta, Lilian Tungaraza almaarufu kwa jina la Lilian Internet Jumatano mchana Mwenyeezi Mungu alimjaalia kupata mtoto WA KIUME hongera sanaa mama hata wahenga walinena RAHA YA DUNIA NI WATOTO ENH.
SERIKALI YAKABIDHI MITAJI KWA VIJANA 47 WA BBT- UVUVI KAGERA
-
Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Erasto Sima ambaye ni Mkuu wa
Wilaya ya Bukoba, amesema Serikali itaendelea kuwawezesha vijana kiuchumi
kupiti...
2 hours ago
0 Comments