Social Icons

Tuesday, July 5, 2011

MULLY B AWAPOZA WATOTO KIU WAKITOKA JANDONI MUSOMA

Mtangazaji wa Redio Clouds Mully B akiwapa pesa ya kununua maji watoto waliotoka kutahiriwa ambao walikutana nao mtaani mjini Musoma.

Picha hii ilichukuliwa wakati team ya Clouds Fm ilipokuwa mitaani mjini Musoma na kukutana vijana ambao walikuwa wametoka kutahiriwa, kwa roho ya huruma mtangazaji wa Clouds Fm Mully B aliwaita watoto hawa na kuwapatia msaada wa pesa ya kununulia maji waliposema wanakiu sana na wanatembea umbali mrefu kutoka walipo na kuelekea wanapoelekea.

(Picha na Habari na Matukio)

No comments:

 
 
Blogger Templates