Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kama Mjumbe maalum, amewasilisha ujumbe maalum kwa Rais Yoweri Kaguta Museveni kutoka kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Mkutano wa Uongozi wa Afrika wa nane umefanyika leo tarehe 08 Aprili 2025 Jijini Kampala Uganda.
Rais Museveni amemshukuru Dkt. Kikwete kwa ziara hiyo na kumuomba amfikishie salamu zake kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na waanzania wote.
0 Comments