Bendera ya Tanzania inaendelea kupepea kwa namna moja ama nyingine kupitia Tasnia ya Mitindo kutoka kwa Designers wetu ambao wamekuwa wakipata fursa ya kuonyesha Mavazi yao kwenye nchi za ugenini. hii ni nyingine tena. Mama wa Mitindo maarufu kama Asya Idarous Khamsin, Jumamosi ya wiki hii 7,October, 2017 ataonyesha Mitindo yake kwenye event kubwa huko DALLAS TEXAS ambayo imepewa jina la EAST AFRICAN CHAMBERS OF COMMERCE. Kwako mdau wa Fashion usikose kumshirikisha ndugu jamaa au rafiki yako ili kuendelea kuikuza Tasnia hii ya Mitindo Tanzania. Asante.
MSD YAJIVUNIA MAFANIKIO UPATIKANAJI DAWA,VIFAA TIBA
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Dodoma
BOHARI ya Dawa(MSD) ambayo ni taasisi iliyoundwa kisheria mwaka 1993
ikifuatiwa na maboresho mbalimbali ya sheria ili k...
MAZIKO YA MPENDWA WETU HASSAN NG'ANZO
-
*Ndugu, jamaa na marafiki wakijumuika pamoja katika siku ya msiba wa
mpendwa wetu Hassan Ng'anzo nyumbani kwa marehemu Sinza Mori mapema siku ya
Ijumaa M...
WASIRA AWATOLEA UVIVU WALIOANZA MBIO ZA URAIS
-
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen
Wasira, Leo Machi 27, 2026, Mjini Bunda Mkoa wa Mara alipokuwa akiweka
jiwe la ms...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments