Mamia ya wananchi wanazidi kujitokeza kwa wingi kwenye mkutano mkubwa wa injili ulioandaliwa na kanisa la kimataifa la EAGT Lumala Mpya kwenye uwanja wa Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza. Mhubiri ni mwinjilist Rojas Matias kutoka Marekani huku mchungaji mwenyeji akiwa ni Dkt.Daniel Moses Kulola.
THTU YATAKA MABORESHO YA UTAWALA BORA KUFANIKISHA DIRA 2050
-
*Na Mwandishi wetu, Dodoma*
*Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (THTU) kimeitaka
Serikali kuimarisha utawala bora na mifumo ya ...
32 minutes ago
0 Comments