Baadhi ya wamiliki wa mitandao ya kijamii (Bloggers, Online Media) wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel (Katikati waliokaa), viongozi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) baada ya kumalizika kwa kikao cha mashauriano na Wadau kuhusu huduma ya Utangazaji (Maudhui) na kanuni za maudhui mitandaoni leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam
Kanuni ziizojadiliwa ni maudhui yanayorushwa na vituo vya uatangazaji vya Redio na Televisheni n maudhui mitandaoni (Online Content) Jumla ya vyombo vya habari 76 vilishiriki kwenye kikao hicho.
Wadau wamepewa wiki moja kuwasiliasha maoni yao kwenye kamati ya mashauriano ili yajadiliwe na kufanyiwa kazi kwa lengo la kuboresh kanuni/
Wamiliki wa Wmiliki na wafanyakazi wa Vituo vya Televisheni na Radio wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel (Katikati waliokaa), viongozi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) baada ya kumalizika kwa kikao cha mashauriano na Wadau kuhusu huduma ya Utangazaji (Maudhui) na kanuni za maudhui mitandaoni leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel akizungumza kuhusu mambo mbalimbali waliyokubaliana katika kikao cha mashauriano na Wadau kuhusu huduma ya Utangazaji (Maudhui) na kanuni za maudhui mitandaoni leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam
Wadaui wa habari wakiwa katika kikao hicho
Meneja Mipango na Utafiti wa Sahara Media Group, Nathan Rwehabura akichangia mada wakati wa kikao hicho, ambapo pia alilalamikia ada kubwa inayotozwa kwa mwaka wamiliki wa vituo vya tv ambayo ni dola 25,000 swa na sh/ mil/ 60
Dina Chahali wa Chanel Ten akitafakari jambo katika kikao hicho
Mkurugenzi Mstaafu wa Utangazaji wa TCRA, Habby Gunze akifafanua jambo katika kiao hicho
Wakili wa Jamii Forum Benedict akichangia mada wakati wa kikao hicho
Mkuu wa Vipindi wa EAST AFRICA Radio, Nasser Kingu akichangia mada wakati wa kikao

Wadau wamepewa wiki moja kuwasiliasha maoni yao kwenye kamati ya mashauriano ili yajadiliwe na kufanyiwa kazi kwa lengo la kuboresh kanuni.

0 Comments