Mratibu wa
Huduma za Macho Mkoa wa Lindi Dk.Mwita Machage akimpima mgonjwa wa macho wakati
wa sikukuu ya Nane Nane katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi leo.Huduma hii
ya upimaji wa macho imefadhiriwa kwa ushirikiano wa shirika lisilo la kiserikali la Sightsavers
Tanzania na sekretarieti ya mkoa wa Lindi Idara ya afya mkoa.
RAIS SAMIA AMERIDHIA MILIONI 544 ZILETWE BAHI KUJENGA SHULE YA SEKONDARI
CHIFUTUKA - PROF. SHEMDOE
-
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amesema Mhe. Waziri Mkuu Dkt.
Mwigul...
8 hours ago


0 Comments