MASK YA ASALI, NDIZI MBIVU na NDIMU kwa WALE WENYE USO WA MAFUTA Kama mlivyoomba wadau kwa wale wenye USO wenye MAFUTA mengi hii ni MASK unayoweza kutumia ukiwa nyumbani na ikakuaaidia. Nini cha kufanya:- 1. Ponda ponda NDIZI MBIVU MOJA mpaka iwe laini kabisa 2. Chukua KIJIKO KIMOJA CHA ASALI 3. Chukua KIJIKO KIMOJA CHA NDIMU 4. Changanya kwa pamoja vitu hivyo vizuri.
5. Paka mchanganyiko huo kwenye uso msafi kama inavyoonekana kwenye
picha na kaa nao kuanzia dakika 15 hadi 30 kisha osha na maji ya
uvuguvugu. Unaweza tumia mask hii mara moja kwa siku. Imeandaliwa na Honey Spring kwa kushirikiana na Jamiimojablog, Kwa mahitaji yako ya ASALI wasiliana nasi 0683370065 au 0769129351, karibuni sana
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments