| Wanamuziki wa Bendi ya Fm Academia 'Wazee wa Ngwasuma' wakitoa burudani kwa mashabiki wao siku ya uzinduzi wa Hotel ya Mfikemo Sae jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.Picha Elvis Kimambo Jamiimojablog. |
| Meneja Mauzo wa K-Vant Gin Kanda za Nyanda za Juu Kusini Ndugu Lisungu Kipiga pasi akiwa tayari kutoa huduma kwa wateja wake . |
| Wadau wa burudani ,Pesi,Jofrey Ananiah ,Brand Nelson ,Kosima Patrick |
0 Comments