Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia bingwa wa mkanda wa W.P.B.F Africa, Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi za 'upcat' mkunjo wa chini kwa ajili ya kupiga chembe na kidevu wakati anacheza na mpinzani Class anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa W.B.O Africa mpambano utakaofanyika Feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS |

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimwelekeza bondia bingwa wa mkanda wa W.P.B.F Africa, Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi za 'upcat' mkunjo wa chini kwa ajili ya kupiga chembe na kidevu wakati anacheza na mpinzani Class anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa W.B.O Africa mpambano utakaofanyika Feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimwelekeza bondia bingwa wa mkanda wa W.P.B.F Africa, Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi zilizo nyooka wakati anacheza na mpinzani Class anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa W.B.O Africa mpambano utakaofanyika Feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia bingwa wa WPBF Africha Ibrahimu Class 'King Class
Mawe' kushoto akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini
Rajabu Mhamila Super D
Bondia bingwa wa WPBF Africha Ibrahimu Class 'King Class
Mawe' kushoto akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini
Rajabu Mhamila Super D
baaada ya mazoezi picha ya pamoja super d wa pili kulia |
Kocha Super D wa pili kulia akiwa na vijana wajke baada ya mazoezi makali |
Bondia bingwa wa WPBF Africha Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila Super D |
0 Comments