RAIS KIKWETE NA MKEWE WAMJULIA HALI MBUNGE WA NAMTUMBO MHE VITA KAWAWA ALIYELAZWA HOSPITALI YA AMI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yao ni Mhe Adam Malima, nai bu Waziri wa Fedha na kushoto ni Daktari katika wodi hiyo.

                                      Picha na IKULU

Post a Comment

0 Comments