Rais
Dr. Jakaya Kikwete akiwasili katika eneo la mradi wa nyumba za gharama
nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba (NHC) na kupokelewa na Ndg.
Felix Maagi Kaimu Mkurungenzi Mkuu NHC na Mkurugenzi wa Fedha kulia
wakati alipokagua mradi huo uliopo katika wilaya ya Mkinga mkoani Tanga
akiwa katika ziara yake ya kikazi jana Rais Dr. Jakaya Kikwete
anaendelea na ziara mkoani humo leo.
Rais
Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na wafanyakazi mbalimbali wa shirika la
Nyumba wakati alipowasili katika eneo la mradina kujionea shughuli za
ujenzi katika mradi huo
Rais
Dr. Jakaya Kikwete akizindua mradi huo pamoja na Naibu Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Makazi Mh. George Simbachawene katikati ni Kaimu Mkurugenzi
wa Shirika hilo Bw. Felix Maagi na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mh.
Chiku Galawa
Rais
Dr. Jakaya Kikwete na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mh.
George Simbachawene kulia na Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC
Bw. Felix Maagi kwa pamoja wakipiga makofi mara baada ya Rais kuzindua
rasmi mradi huo uliopo wilayani Mkinga
0 Comments