MSANII MWAJUMA JIMAMA AFUNGA NDOA NA MELELA MUSSA



 
Wakiwa na nyuso za furaha ni  Msanii wa filamu na unenguaji Mwajuma Thabiti 'Mwajuma Jimama' akiwa katika pozi na mume wake Melela Mussa baada ya kufunga ndoa hivi karibuni Ilala bungoni na kufuatia na sherehe kubwa bwana harusi ni mfanya bihashara na bi, ni msanii wa kujitegemea.
 

Post a Comment

0 Comments