Mkurugenzi
Mtendaji wa TAMWA, Valerie Msoka akisisitiza jambo katika mkutano na
wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo. Mkutano wa wahariri wa vyombo vya habari na TAMWA ukiendelea.
Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari jijini Dar es Salaam
wakiwa kwenye mkutano na Chama cha Wanahabari Wanawakecha (TAMWA) leo.
Sehemu ya wahariri wa vyombo anuai vya habari jijini Dar es Salaam
wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Valerie Msoka (hayupo
pichani)
Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari jijini Dar es Salaam
wakiwa kwenye mkutano na Chama cha Wanahabari Wanawakecha (TAMWA) leo.
Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari jijini Dar es Salaam
wakiwa kwenye mkutano na Chama cha Wanahabari Wanawakecha (TAMWA) leo.
KITUO
cha Usuluhishi (CRC) kinachofanya kazi chini ya Chama cha Wanahabari
Wanawakecha (TAMWA) kimejipanga kutoa elimu kwa jamii kuhakikisha
kinapambana na matumizi ya pombe kupindukia kwa jamii suala ambalo
limezidisha vitendo vya ukatili wa jinsia unaofanywa na watumiaji pombe
kupindukia.
0 Comments