Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti, Mchungaji, George Fupe, ambaye ni mmoja kati ya
waanzilishi wa benki hiyo na wahamasishaji kwa watu kununua shea katika
benki hiyo, ambapo walifanikiwa kupata jumla ya Sh. Bilioni 4.5. Makamu
alikabidhi vyeti hivyo wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa benki hiyo
iliyopo jijini Dar es Salaa,leo Nov 12, 2013. Kulia ni Askofu Mkuu wa
Kanisa la KKKT, Dkt. Alex Malasusa.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti, Afisa Utawala wa Benki ya Maendeleo, Rose Mushi,
ambaye ni mmoja kati ya waanzilishi wa benki hiyo na wahamasishaji kwa
watu kununua shea katika benki hiyo, ambapo walifanikiwa kupata jumla
ya Sh. Bilioni 4.5. Makamu alikabidhi vyeti hivyo wakati wa hafla ya
uzinduzi rasmi wa benki hiyo iliyopo jijini Dar es Salaa,leo Nov 12,
2013. Wa pili (kushoto) ni Naibu Waziri wa Fedha, Janeth Mbene (kulia)
ni Askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT, Dkt. Alex Malasusa.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifunua kitambaa kuashiria kuweka Jiwe la Msingi katika benki ya
Maendeleo PLC, wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa benki hiyo,
iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la
KKKT, Dkt. Alex Malasusa (kushoto) ni Naibu Waziri wa Fedha,Janeth
Mbene.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akikata utepe kuashiria kufungua benki ya Maendeleo PLC, wakati wa
hafla ya uzinduzi rasmi wa benki hiyo, iliyofanyika leo jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT, Dkt. Alex Malasusa
(kushoto) ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadic na Naibu
Waziri wa Fedha,Janeth Mbene.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi mfano wa kadi ya ATM, mteja wa kwanza kufungua Account
katika benki hiyo, Elianasa Marco Njiu,mkazi wa jijini Dar es Salaam,
wakati wa hafla ya ufunguzi wa Benki hiyo iliyofanyika jijini Dar es
Salaam, leo Nov 12, 2013. Wa pili (kulia) ni Mteja wa kwanza kupata
mkopo katika benki hiyo, Margareth Chiwata.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa bemki hiyo,leo.
Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo ya ufunguzi wa benki hiyo.
Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo ya ufunguzi wa benki hiyo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo na
wachungaji wa Kanisa la KKKT, baada ya ufunguzi rasmi wa benki hiyo.

0 Comments