Mikumi mkoani Morogoro, Lidya Mandara akiwaPA MAELEZO warembo wa
Redds Miss Tanzania 2013 juu ya bwawa la viboko na mamba lililopo katika
hifadhi hiyo wakati warembo hao walipo tembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni
sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Afisa Msadizi wa uhamasishaji Utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi
mkoani Morogoro, Lidya Mandara akiwapa maelezo warembo wa Redds Miss Tanzania
2013 juu ya bwawa la viboko na mamba lililopo katika hifadhi hiyo wakati
warembo hao walipo tembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha
utalii wa ndani nchini.
Warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 wakiwa katika picha ya pamoja mara
baada ya kuwasili katika hifadhi ya taifa Mikumi jana ikiwa ni sehemu ya
kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 wakiruka kwa furaha mara
baada ya kutembelea hifadhi ya Taifa Mikumi wakati warembo hao walipo tembelea
hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini. (Picha
na Intellectuals Communications Limted)
0 Comments