Naibu
Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Angella Kairuki akishow love na my
schoolmate wake Afisa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa Tanzania Hoyce
Temu katika viwanja vya Mnazi hivi karibuni wakati wa maadhimisho ya
siku ya Haki za Binadamu Duniani.
APeF Yazindua Mfuko wa Ziada Kupanua wigo wa uwekaji Akiba, Uwekezaji na
Ulinzi
-
DAR ES SALAAM, 26 Januari 2026. Africa Pension Fund Limited (APeF) leo
imezindua rasmi Mfuko wa Ziada, ambao ni mfuko wa kwanza wa uwekezaji wa
pamoja ka...
2 hours ago
0 Comments