Unapotaja orodha ya Ma Dj vijana wa kitanzania ughaibuni jina la Dj Rama,mwenye maskaniyake mjini München ,kule ujerumani ni maarufu kwa kurusha mavitu katika sherehe mbali mbali,Dj Rama amefanikiwa mara nyingi kuwadatisha akili wadau wa muziki kwa kurushana kuchanganya muziki wa Tanzania na mingineyo katika sherehe mbali mbali ni juzi tu alikuammojawapo wa walio tingisha katika sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania,mjini Berlin.
MIRADI, MIKATABA YA KIMATAIFA KULETA FURSA KWA WANANCHI WA PANDE ZOTE ZA
MUUNGANO
-
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi (katikati)
akimpatia zawadi ya nakala ya kitabu alichokiandika kinachohusu masuala ya
mazing...
7 hours ago

0 Comments