Alula Girma wa timu ya taifa ya Ethiopia(kulia) akichuana na Abuelgasim Saeed wa timu ya taifa ya Sudan wakati wa mchezo wao wa michuano ya kombe la TUSKER CHALLENGE CUP 2011 uliofanyika kuanzia saa nane mchana kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na timu hizo kutoka sare ya magoli 1-1 (Picha na Mohammed Mambo).
JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA UBUNGO: WIKI YA WAZAZI KIWILAYA
-
Yahitimisha maadhimusho ya Wiki ya wazazi ngazi ya Wilaya katika kata ya
Kwembe kwa kutembelea Wazee na kukabidhi baadhi ya mahitaji maalum.
Viongozi ...
1 hour ago
0 Comments